Mawaziri wapanga kumuondoa Waziri Mkuu Theresa May - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, March 25, 2019

Mawaziri wapanga kumuondoa Waziri Mkuu Theresa MayVyombo vya habari nchini Uingereza vinaripoti kuwa baraza la Theresa May linakataa kuunga mkono uongozi wake na linamtaka aachie madaraka, Kiongozi wa muda atateuliwa kusimamia majadiliano ya Brexit.

Vyombo hivyo Jumamosi usiku vimeripoti kwamba waziri mkuu Theresa May alikuwa anakabiliwa na uasi ndani ya baraza lake la mawaziri na huenda akajiuzulu mara moja, hatua hiyo inakuja siku chache kabla ya kura ya tatu kuhusu makubaliano ya May juu ya Brexit yaliokatiliwa mara mbili.

No comments: