Mourinho atoa ya moyoni baada ya kupigwa chini na badala yake kuteuliwa Zidane kuwa kocha wa Real Madrid - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, March 16, 2019

Mourinho atoa ya moyoni baada ya kupigwa chini na badala yake kuteuliwa Zidane kuwa kocha wa Real Madrid


Aliyekuwa meneja wa Manchester United Jose Mourinho amefunguka baada ya tetesi za yeye kuchukua mikoba katika klabu yake ya zamani ya Real Madrid na yeye pia alionyesha nia ya kurudi tena na badala yake kuteuliwa Zidane kwenda kuifundisha Los Blancos.


Mourinho amesema “hajahuzunishwa na kuteuliwa tena Zinedine Zidane huko Real Madrid. Mourinho,” Ikumbukwe aliyehusishwa na kurudi katika timu hiyo kuu ya Uhispania amesema Zidane ndiye bora katika jukumu hilo 
Loading...

No comments: