Mrithi wa Maalim Seif apatikana Lipumba Amtangaza - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, March 17, 2019

Mrithi wa Maalim Seif apatikana Lipumba Amtangaza


Mrithi wa Maalim Seif apatikana Lipumba Amtangaza
Mwenyekiti wa CUF, Prof Ibrahim Lipumba, upande unaotambulika na Msajili wa Vyama vya Siasa amemtangaza Khalifa Suleiman Khalifa kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho.

Pia amtangaza Magdalena Sakaya Naibu Katibu Mkuu kwa upande wa Tanzania Bara 
Loading...

No comments: