MWANDISHI WA GAZETI LA MAJIRA ADAIWA KUKAMATWA WAKATI WA MAANDAMANO YA WANAWAKE WA ACT - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, March 8, 2019

MWANDISHI WA GAZETI LA MAJIRA ADAIWA KUKAMATWA WAKATI WA MAANDAMANO YA WANAWAKE WA ACT


George Mwigulu wa Gazeti la Majira amekamatwa wakati akiupiga picha msafara wa Wanawake wa Chama cha ACT Wazalendo

Wanawake hao walikuwa katika shamrashamra za kusheherekea siku wa Wanawake Duniani

Tukio hilo limetokea wakati wa majibizano kati ya Jeshi la Polisi na Wanawake wa chama hicho

Mapema leo, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa ya kuwataka Wanawake wa ACT Wazalendo kusitisha shughuli zao na kuwaomba waungane na Wanawake wengine kwenye maadhimisho ya kitaifa
Loading...

No comments: