NBA: HAWA NDIO WACHEZAJI WANAOONGOZA KATIKA UFUNGAJI, ASSISTS, REBOUNDS, BLOCKS NA STEALS MPAKA SASA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, March 11, 2019

NBA: HAWA NDIO WACHEZAJI WANAOONGOZA KATIKA UFUNGAJI, ASSISTS, REBOUNDS, BLOCKS NA STEALS MPAKA SASA


Baada ya wiki ya  kukamilika huku hatua ya mtoano ikikaribia, NBA wametoa takwimu na orodha za wachezaji wanaoongoza katika nyanja mbalimbali za mashindano na mchezo huo wa mpira wa kikapu kama ifuatavyo: 

James Harden wa Rockets anaongoza kwa kufunga pointi nyingi akifuatiwa na Kevin Durant wa Warriors, Paul George, Bradley Beal pamoja na Damian Lillard. 

Rusell Westbrook wa OKC Thunders anaongoza list ya watoa Assist huku akifuatiwa na Trae Young wa Hawks, Ben Simmons, Jrue Holiday pamoja na Kyle Lowry. 

Kwenye List ya wanaofanya Rebounds nyingi, Andre Drummond wa Pistons anaongoza, akifuatiwa na Rudy Gobert wa Uttah Jazz, Deandre Jordan, Nikola Vucevic, pamoja na Karl-Anthony Towns. 

Paul George wa OKC Thunders anaongoza list ya wanaoongoza kwa kuiba na kunyang'anya mipira uwanjani akiwa amenyang'anya mara  mpaka sasa, anafuatiwa na James Harden, Rusell Westbrook, Marcus Smart, Mikal Bridges, pamoja na Jrue Holiday.  

Myles Turner wa Pacers anaongoza list ya wachezaji wanaoBLOCK huku akifuatiwa na Rudy Gobert, Brook Lopez, Anthony Davis wa Pelicans, pamoja na Mitchell Robinson 

SWALI: Unadhani nani ataibuka mchezaji bora wa msimu huu? 
Loading...

No comments: