NYANDA CASILLAS BADO YUPO YUPO SANA TU, ASAINI MKATABA MPYA PORTO. - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, March 21, 2019

NYANDA CASILLAS BADO YUPO YUPO SANA TU, ASAINI MKATABA MPYA PORTO.


Goli kipa wa zamani wa timu ya Taifa ya Spain, na klabu ya Real Madrid, IKER Casillas ameongeza mkataba wa miaka mwili kuitimikia klabu ya Fc Porto. 

Mkataba huo utamfanya Casillas abaki katika klabu hiyo mpaka mwaka 2021. 

Goli kipa huyo mwenye umri wa miaka 38 kwa sasa, ameshaichezea klabu ya Porto jumla ya michezo 149 katika michuano yote. 

Ng'ombe hazeeki maini sio? 
Loading...

No comments: