ORODHA ya Abiria Waliokuwa KWENYE Ndege ya Ethiopian Airlines imetolewa - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, March 11, 2019

ORODHA ya Abiria Waliokuwa KWENYE Ndege ya Ethiopian Airlines imetolewaOrodha ya abiria waliokuwa kwenye kampuni ya ndege ya Ethiopian Airlines imetajwa.

32 Kenya
18 Canada
9 Ethiopia
8 Chinese
8 Italian
8 American
7 France
7 British
6 Egypt
5 Netherlands
4 UN passport
4 Indian

3 Russian
2 Moroccan
2 Israeli
1 Belgian
1 Igandan
1 Yemeni
1 Sudanese
1 Togo
1 Mozamb
1 Norwegian

Mapema leo asubuhi ndege ya Ethiopian Airlines imepata ajali na kuanguka huku wasafiri 149 na wahudumu wanane waliokuwemo ndani ya ndege hiyo hakuna hata mmoja aliyeweza kunusurika na wote wamekufa.
Loading...

No comments: