P.DIDDY AJUTIA KUTOFUNGA NDOA NA BABY MAMA WAKE KIM PORTER KABLA HAJAFARIKI - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, March 4, 2019

P.DIDDY AJUTIA KUTOFUNGA NDOA NA BABY MAMA WAKE KIM PORTER KABLA HAJAFARIKI


Rapper P.Diddy amejutia kutofunga ndoa na aliyekuwa mpenzi na mama watoto wake, Kim Porter ambae alifariki mwishoni mwa mwaka jana.

Wakati wa uhai wake, walikuwa kwenye mahusiano kwa miaka 17 na imepita miezi 5 tangu kufariki kwake.

Baada ya kumpost kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuonyesha jinsi gani anakumbuka uwepo wake kwenye maisha yake, mashabiki wengi wametoa maoni yao Ila moja ya maoni ya shabiki mmoja ameongea swala zima la Diddy kuwa mwanaume mjinga kwa kutofunga ndoa na kim alipokuwa hai kwani walikuwa wapenzi kwa kipindi kirefu. 

Rapper Diddy akaonyesha majuto na kumjibu kwamba alifanya kosa kubwa Sana na anajutia. 
Loading...

No comments: