PICHA: GARI LILILOGONGA TRENI NA KUSABABISHA KIFO CHA MTU MMOJA HAPO JANA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, March 16, 2019

PICHA: GARI LILILOGONGA TRENI NA KUSABABISHA KIFO CHA MTU MMOJA HAPO JANA


Mtu mmoja amefariki na wanafunzi 19 kati ya thelathini wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kwenda kucheza mpira kuligonga Treni eneo la Gofu jijini Tanga.

Kamanda wa polisi mkoani Tanga SACP Edward Bukombe alithibitisha kutokea kwa ajali hiyo.


Loading...

No comments: