PICHA: KIKOSI TAIFA STARS 1979 KIKIREJEA NCHINI BAADA YA KUFUZU AFCON MWAKA 1980 - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, March 26, 2019

PICHA: KIKOSI TAIFA STARS 1979 KIKIREJEA NCHINI BAADA YA KUFUZU AFCON MWAKA 1980

KUMBUKUMBU: Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kikirejea nchini kutoka Zambia mwaka 1979, Baada ya kufuzu kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika AFCON mwaka 1980.Fainali za AFCON za mwaka 1980 zilifanyika nchini Nigeria. Zilianza Machi 8 hadi 22, 1980 na Nigeria ilitwaa ubingwa.
Loading...

No comments: