PICHA: SIKU YA WANAWAKE DUNIANI ILIVYOADHIMISHWA JIJINI DAR ES SALAAM - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, March 9, 2019

PICHA: SIKU YA WANAWAKE DUNIANI ILIVYOADHIMISHWA JIJINI DAR ES SALAAM

Mgeni Rasmi Mh. Paul Makonda Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiongea na wanawake wa Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani Tarehe 8.3.2019, ukumbi wa Mlimani city.
Mgeni Rasmi Mh. Paul Makonda Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiwasili Ukumbi wa Mlimani City kwa ajili ya maadhimisho ya Siku yaWanawake Duniani.
Maandamano 
Wanawake wakiwa katika ukumbi wa Mlimani 

Picha zote na Mwanaharakati Mzalendo
 
Loading...

No comments: