PICHA ZA MASTAA MTANDAONI KUELEKEA MECHI YA TAIFA STARS DHIDI YA UGANDA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, March 24, 2019

PICHA ZA MASTAA MTANDAONI KUELEKEA MECHI YA TAIFA STARS DHIDI YA UGANDAKuelekea mpambano wa kufuzu AFCON 2019 ambapo jioni ya leo timu ya Taifa, Taifa Stars itacheza dhidi ya timu ya taifa ya Uganda kwenye uwanja wa Taifa jijin Dar es salaam, mastaa wa bongo wa wemeonesha kuhamasika na kuhamsisha mashabiki wao kujitokeza kiwanjani na kuishangilia timu yao.

Hizi ni post za baadhi ya mastaa walizotupia kwenye mtandao wa Instagram.
"👆🏽Thats Ma Name .
#NiZamuYetu

#afcon2019
🇹🇿"- Hamisa

"Tukutane taifa...baada ya ushindi tukutane@last_minute_bar_and_lounge bia zote zitakuwa nusu bei kwanzia saaa 12jioni mpaka saaa sita usiku 😘"-Irene Uwoya


"Mheshimiwa mara moja moja kudamshi si inaruhusiwa ndugu zangu?
#AFCONNIZAMUYETU2019 #KiongoziKijana #TanzaniaOyee 🇹🇿"-Jokate
"#twenzetutaifa"-Lynn

Loading...

No comments: