RADA ZA AC MILAN ZINAMUANGALIA RICHARLISON KWA SASA INGAWA KUNA UGUMU - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, March 18, 2019

RADA ZA AC MILAN ZINAMUANGALIA RICHARLISON KWA SASA INGAWA KUNA UGUMU


AC Milan wanamtaka Richarlison na mshambuliaji huyo wa Kibrazil anaitaka Milan tatizo ni kwamba Everton wanataka dau la Paun Milioni 60 ambazo Milan wanaona ni nyingi sana ili kupata saini ya straika huyo wa zamani wa Watford. 

Klabu ya Everton wenyewe walilipa Pauni Milioni 40 kumtoa mshambuliaji huyo kutoka klabu ya Watford mpaka Goodison Park. 
Loading...

No comments: