RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI KATIKA IBADA YA JUMATANO YA MAJIVU KANISA KUU LA MTAKATIFU JOSEPH DAR LEO - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, March 6, 2019

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI KATIKA IBADA YA JUMATANO YA MAJIVU KANISA KUU LA MTAKATIFU JOSEPH DAR LEORais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika Ibada ya Jumatano ya Majivu katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam leo Machi 6, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, akiwa ameongozana na mkewe Mama Janeth Magufuli, akiagana na Padri Joseph Matumaini nje ya  Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Joseph Mosha baada ya kuhudhuria  Ibada ya Jumatano ya Majivu kanisani hapo leo Machi 6, 2019


A1: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipakwa majivu na Paroko Msaidizi wa Parokia ya Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Joseph Mosha wakati wa Ibada ya Jumatano ya Majivu kanisani hapo leo Machi 6, 2019

Loading...

No comments: