RAIS KAGAME AMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU MBILI JIJINI DAR NA KUREJEA NCHINI RWANDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame wakati akimsindikiza kwenda kupanda ndege katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na  mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Teminal 1 wakati akijiandaa kurejea nchini Rwanda mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na vikundi mbalimbali vya ushehereshaji kwa kuwapungia mkono mara baada ya kumsindikiza mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame.
PICHA NA IKULU


Post a Comment

0 Comments