RAIS KAGAME AWASILI NCHINI NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MAGUFULI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, March 8, 2019

RAIS KAGAME AWASILI NCHINI NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MAGUFULI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame akifurahia zawadi ya Kinyago aliyopewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

Loading...

No comments: