RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA MOROCCO NCHINI ALIYEAMBATANA NA UJUMBE KUTOKA NCHINI KWAO - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, March 13, 2019

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA MOROCCO NCHINI ALIYEAMBATANA NA UJUMBE KUTOKA NCHINI KWAO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kiongozi wa Ujumbe kutoka nchini Morocco Balozi Mohamed Methqal ambaye ni Mkurugenzi mkuu wa Wakala wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Morocco  mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. katikati  ni Balozi wa Morocco hapa nchini Abdelilah Benryane akishuhudia.


Loading...

No comments: