Rais Magufuli Amemteua Julius Ndyamukama Kuwa Mkurugenzi Mkuu was Mamlaka ya Ndege - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, March 27, 2019

Rais Magufuli Amemteua Julius Ndyamukama Kuwa Mkurugenzi Mkuu was Mamlaka ya NdegeRais John Magufuli amemteua Julius Ndyamukama kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kuchukua nafasi ya Richard Mayongela ambae uteuzi wake umetenguliwa na anatakiwa kuripoti Wizara ya Ujenzi kupangiwa kazi nyingine.

HAB
Loading...

No comments: