Rais Magufuli Kukutana na wachezaji wa Taifa Stars Leo IKULU - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, March 25, 2019

Rais Magufuli Kukutana na wachezaji wa Taifa Stars Leo IKULU

Rais Magufuli atakutana na wachezaji wa Taifa Stars, viongozi wa TFF, Kamati ya Uhamasishaji na bondia Hassan Mwakinyo leo Machi 25, 2019, saa 4:00 asubuhi Ikulu, jijini Dar es Salaam. 

Taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa inaeleza kuwa pamoja na mambo mengine, Rais pia atawapongeza na kula nao chakula cha mchana.
Advertisement
Loading...

No comments: