Rais Magufuli "Mabalozi Mkiona Tatizo Msiandike Tena Mitandaoni, Nendeni kwa Waziri" - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, March 10, 2019

Rais Magufuli "Mabalozi Mkiona Tatizo Msiandike Tena Mitandaoni, Nendeni kwa Waziri"


Raisi Magufuli amewaasa mabalozi kuacha kuandika mitandaoni kama kuna tatizo badala yake wamwone Waziri wa Mambo ya nje.

Raisi Magufuli ametoa wito huo jana wakati akiwahutubia mabalozi hao Ikulu jijini Dar...

Ameongeza kuwa mabadiliko ya baraza mawaziri hivi karibuni ni sehemu ya kuimarisha uhusiano kati ya nchi na Wadau wa maendeleo nchini !

VIDEO:Loading...

No comments: