RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA EXECUTIVE COORDINOTOR WA PROGRAM YA KUJITOLEA YA "UNITED NATIONS VOLUNTEERS" BW.OLIVER ADAM IKULU ZANZIBAR. - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, March 19, 2019

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA EXECUTIVE COORDINOTOR WA PROGRAM YA KUJITOLEA YA "UNITED NATIONS VOLUNTEERS" BW.OLIVER ADAM IKULU ZANZIBAR.


 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mratibu Mkuu wa Program ya Kujitolea ya "United Nations Volunteers " (UNV) Bw,Oliver Adam kushoto,alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo 19-3-2019.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mratibu Mkuu wa Programu ya Kujitolea ya (UNV) " United Nations Volunteers "Bw.Oliver Adam, kushoto akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Zanzibar  leo kwa mazungumzo leo 19-3-2019.(Picha na Ikulu)
Loading...

No comments: