RC SHINYANGA ATAMBULISHA MRADI WA 'BADILISHA TABIA TOKOMEZA MALARIA' - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, March 6, 2019

RC SHINYANGA ATAMBULISHA MRADI WA 'BADILISHA TABIA TOKOMEZA MALARIA'
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga,Mheshimiwa Zainab Telack ametambulisha rasmi mradi wa 'Badilisha Tabia Tokomeza Malaria' unaotekelezwa na asasi ya T- MARC Tanzania kwa ajili ya kazi za uhamasishaji jamii kupambana na ugonjwa wa malaria katika halmashauri za wilaya za Ushetu,Msalala na Kishapu  mkoani Shinyanga.
Loading...

No comments: