Simba Kuivaa TP Mazembe Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, March 20, 2019

Simba Kuivaa TP Mazembe Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika

Timu ya Simba Sports Club ya Tanzania imepagiwa kukutana na TP Mazembe kwenye hatua ya robo fainali ya michuono ya ligi ya mabingwa Afrika.


Simba wataanzia nyumbani mchezo utakaopigwa kati ya Aprili 5-6, kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na mechi ya marudiano itapigwa Lubumbashi, Congo kati ya Aprili 12-13.

Droo kamili ni kama ifautayo;

Simba ya Tanzania VS TP Mazembe ya Congo

CS Constantine ya Algeria VS Esperance de Tunis ya Tunisia

Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini VS Al Ahly ya Misri

Horoya ya Guinea VS Wydady Casablanca ya Morocco.
Loading...

No comments: