Solskjaer kukabidhiwa rasmi Manchester wiki hii, - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, March 27, 2019

Solskjaer kukabidhiwa rasmi Manchester wiki hii,

Manchester United ipo mbioni kumpa kandarasi ya moja kwa moja kocha wake Ole Gunnar Solskjaer baada ya kuhudumu nafasi hiyo kama mwalimu wa muda akirithi nafasi ya Jose Mourinho.

Manchester United are close to appointing Ole Gunnar Solskjaer as their permanent manager

Licha ya kukumbana na ugumu kwenye mchezo wa hapo jana usiku, inafahamika kuwa Solskjaer atapata mkataba wa kudumu wiki hii.

There has been uncertainty over his future, but has been tipped to become permanent boss

Kocha huyo mwenye umri wa mika 46, raia wa Norway mpaka sasa ameweka rekodi bora kabisa ya kushinda jumla ya michezo 14 kati ya 19 aliyosimamia klabu hiyo tangu kuchukua nafasi ya Jose Mourinho mwezi Desemba. 
The 46-year-old Norwegian has won 14 of his 19 games as caretaker manager since December
n
United siku zote imekuwa ikisema kuwa itafanya maamuzi kabla ya kufika mwishoni mwa msimu lakini huwenda akatangazwa mapema mnoo.
Kwa sasa Solskjaer yupo na familia yake nchini Norway akipisha kipindi hiki ambacho wachezaji wakitumikia timu zao za taifa.
Loading...

No comments: