TAARIFA KWA UMMA: UBORESHWAJI WA HUDUMA ZA BENKI YA STANDARD CHARTERED - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, March 4, 2019

TAARIFA KWA UMMA: UBORESHWAJI WA HUDUMA ZA BENKI YA STANDARD CHARTERED


Benki yako ya Standard Chartered inapenda kukutaarifu kuwa maboresho ya hali ya juu sana yamefanyika katika huduma/bidhaa zao pamoja na utoaji wa huduma hizo. Kuanzia sasa benki ya Standard Chartered inakuhakikishia utaweza kupata huduma zifuatazo:


  • Uharaka wa kufunguliwa akaunti ya akiba na ya matumizi ya kawaida
  • Akaunti zote sasa zinapatikana kwa usd au Tsh


  • Unaletewa kadi yako ya malipo ya kabla hadi nyumbani kwako
  • Huduma zaidi ya 70+ za kidigitali kwa bei nafuu, bila ya kiingilio, wala ada zisizo za lazima
  • ID za touch pamoja na Ulinzi wa 3D hufanya pesa zako ziwe salama zaidi 
  • Thamani ya pesa kupitia faida za mtindo wa maisha pamoja na punguzo la 25% kwenye ndege za Emirates. 


Loading...

No comments: