TETESI ZA USAJILI: BORUSSIA DORTMUND WANA MPANGO WA KUMNYAKUA BRANDT KUTOKA LEVERKUSEN - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, March 15, 2019

TETESI ZA USAJILI: BORUSSIA DORTMUND WANA MPANGO WA KUMNYAKUA BRANDT KUTOKA LEVERKUSEN


Klabu ya Borussia Dortmund wanampango wa kufanya usajili wa kiungo wa timu ya Bayer Leverkusen, aitwaye Julian Brandt kwa mujibu wa taarifa kutoka Bild. 

Julian Brandt mwenye umri wa miaka 22 amekuwa akihusishwa na klabu ya Liverpool majira ya kiangazi yaliyopita na amekuwa na msimu mzuri mpaka sasa wa Bundesliga akicheza zaidi namba 10 tofauti na misimu ya nyuma alipokuwa akicheza kama winga. 

Loading...

No comments: