TIPS TO LADIES...UKIJIACHIA TU KOSA,WANAUME HAWAPENDI SURPRISED - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, March 11, 2019

TIPS TO LADIES...UKIJIACHIA TU KOSA,WANAUME HAWAPENDI SURPRISEDHabari tena kwa mara nyingine Ladies....Nyie ndo mnaoongoza kuumia mioyo inabidi tu msaidiwe kujua how Men are...kuna vitu vingine mwanaume hawezi kusema lakini moyoni vimeshapigiwa mstari kitambo..

Kwa wale ambao bado hamjazaa na hata wale ambao sasa ni wajawazito...Na wewe mwenye watoto au mtoto tayari,THIS IS IT...

Kama kuna mambo yanafanya Baba wa mtoto wako,au Boyfriend kwa nyie ambao mmeamua kujihalalishia kuishi na wanaume bila kwenda Kanisani,Msikitini wala popote,mkaamua kuishi gheto kisela tu,Mungu atajibeba mwenyewe sikieni hili...

Men can not handle Surprises....Ukimuuliza Mwanaume wako amekupendea nini atataja vitu flani hivi...Oh napenda una moyo na Tabia nzuri...SAWA....Atasema yoteeee,unapenda Mungu...Huna hasira...Una roho nzuri,na kila kitu...

Kuna vitu alikupendea lakini ukimuuliza hawezi kuvisema....Wanaume wanapenda Physical parts pia...Kuna wanaopenda nywele...kucha...Maziwa...Miguu....Vinyweleo....Smile...Dental formula ya Meno.....Inye gwedegwede...Shingo...wengine wanapenda hata Sauti tu...

Wengi wanapenda Figure...Aidha Namba 8...Awe Miss...Au mwenye kitu ya kuua mutu!

Wanawake wengi wanapokuwa wana ujauzito/mimba...Na wanapozaa...Wanajisahau...Huu ndio ukweli...Tena wale waliooa ndo zaidi...Wanaona aah mwanaume kashaniweka ndani,sina haja ya kujicomplicate sanaaaa...KOSAAAA!

Mwanaume hazeeki jamani,Ng'ombe hazeeki maini kamwe...Alikupenda akiwa na miaka 22,leo ana miaka 40 lakini hajapoteza taste ya vile alivyokuona,akakuhusudu akakubali kushea maisha na wewe...kuna touches alikukuta nazo,ni vema uzitunze,japo hazitakuwa intact all ur life lakini try to maintain...Nawajua wanawake aged,wana miaka 50 lakini wako Super..Wanaita ile mbaya...Wana watoto zaidi ya wa4...Wamewezaje na wewe ushindwe una nini???

MAINTAIN YOUR SHAPE

Ni kweli kukaa na mtoto miezi 9 ni kazi...Ni kweli utapata Sleepless Nights kumtunza mtoto baada ya kuzaliwa...Ni kweli kuna hatari ya ku-gain weight sana baada ya kuzaa,but hiyo si sababu ya wewe kujiachia na kuwa kama Furushi la Bhangi...

Mtu amekuoa mwaka jana,ukiwa booonge la Demu,akawa very proud kutembea na wewe njiani,kukutambulisha kwa marafiki zake....Leo umezaa mtoto mmoja umejiachia,hujitengenezi,urnt smart,umeachia mwili huooo kama zigo la Bhangi...Eh...SAPRAIIIIZZZZZZZ....Hii wanaume hawataki...

Atapoteza mvuto na wewe...Utalalamika mmeo harudi nyumbani mapema.....Hajisikii tena tendo la ndoa na wewe coz UMEBADILIKA....Ataanza kutafuta watu wengine nje wenye mvuto kama uliokuwa nao wewe alipokuona first day....Utamlaumu???

Getting married is 1 thing....THEN...Linakuwa jukumu...Maintain your marriage....Mpe mume sababu za kuendelea kukupenda kama alivyokuona mara ya kwanza...kufunga ndoa ukadhani umemaliza kila kitu ni KOSA...tena sio tu kosa,ni SUMU! Do not kill yourself...Dont murder your own Marriage wakati unaweza kuifanya i-work...

Get pregnant...Keep yourself Fit....Go gym...if not just do some exercise,make sure ur healthy na you maintain your shape....

NO SURPRISES PLEASE!
Loading...

No comments: