UEFA: HAWA NDIO WACHEZAJI WANAOWANIA UCHEZAJI BORA WA WIKI LIGI YA MABINGWA ULAYA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, March 14, 2019

UEFA: HAWA NDIO WACHEZAJI WANAOWANIA UCHEZAJI BORA WA WIKI LIGI YA MABINGWA ULAYA


Shirikisho la soka barani ulaya, UEFA limeshatoa majina ya nyota wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa wiki katika Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League). Wamechaguliwa kutokana na viwango vizuri walivyovionyesha pamoja na msaada/mchango walioutoa kwa timu zao kufanikiwa kufuzu kwenda hatua ya robo fainali. 

1. Cristiano Ronaldo (magoli 3)
2. Leroy Sane (goli 1, assist 3)
3. Lionel Messi (Goli 2, assist 2)
4. Sadio Mane (Goli 2)
Loading...

No comments: