UFAFANUZI WA UEFA KWANINI MAN UNITED ATAANZIA NYUMBANI DHIDI YA BARCELONA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, March 16, 2019

UFAFANUZI WA UEFA KWANINI MAN UNITED ATAANZIA NYUMBANI DHIDI YA BARCELONA


Shirikisho la Soka Barani Ulaya UEFA, limetoa ufafanuzi juu ya maamuzi ya kubadili mchezo wa Barcelona vs Man United kufuatia maamuzi ya mamlaka ya jiji la Manchester kusema kuwa Timu za Man Utd na Man City haziwezi kucheza usiku mmoja pamoja au kucheza usiku kwa siku mbili mfululizo. 

Maamuzi hayo yamewafanya UEFA kubadili mchezo huo na kuamua Man United kuanza kampeni zake nyumbani Old Trafford na kumaliza Camp Nou dhidi ya Barcelona. 


Loading...

No comments: