UJIO WA WASTARA KWENYE MUZIKI - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, March 26, 2019

UJIO WA WASTARA KWENYE MUZIKI

Staa mrembo wa bongo movie Wastara Juma, amefunguka kuhusu ujio wake kwenye muziki na ‘Watara foundation’ kwenye upande wa buradani.

Wastara Juma


Akiongea kuhusu wimbo wake unakwenda kwajina la msafari waliouachia hapo jana, Wastara alisema wimbo huo ni kwaajii ya kuwatia moyo watu waliokata kamaa.

Msafiri ni ‘project’ ambayo inayomzungumzia mwanadamu aidha mwanamke au mwanaume ambaye katika maisha yake anakutana na vitu vingi sana, lakini mwisho wa siku kusudio la nyimbo ni kumpa mtu moyo hususani ni wanawake kuwapa moja kwamba unaweza kupita katika vitu vingi lakini wewe mwenyewe ukiwa jasili na ukiwa tayari kusimama unawaza kufikia malengo yako, ni kitu cha kuhamasisha tu kwa ajili ya watu waliokata tamaa kwenye mhusiano biashara kazini, na sehemu zote zinazomzunguka binadamu”. Wastara alieza.

Kataika kuendelea vipaji na Sanaa Wastara ametangaza kuanza kuwasaidia wasichanawanaoimba katika kurekodi na kutengeneza video, hiyo ni kupitia katika taasisi ya yake ya  'Wastara Foundation'.

Hongera sana wastara na tunakutakia kila la kheri kwenye muziki na filamu pia.

 Icheki  hapa  chini video ya msafiri

Loading...

No comments: