VIDEO: STARS YATAKIWA KUFUZU KWENDA AFCON DAKIKA 15 ZA MWANZO - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, March 23, 2019

VIDEO: STARS YATAKIWA KUFUZU KWENDA AFCON DAKIKA 15 ZA MWANZO


WACHEZAJI wa zamani wa Rimu ya Taifa ya Tanzania leo wametembelea mazoezi ya timnu ya Taifa ya Tanzania ambayo itamenyana na Uganda siku ya jumapili march 24 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Wachezaji wao wamewapa ushauri timu ya sasa kwamba inachotakiwa kufanya ni kuweka goli katika dakika 15 za klwanza ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kushinda mechi hiyo.


Loading...

No comments: