Video ya Wimbo Mpya wa Ommy Dimpoz - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, March 26, 2019

Video ya Wimbo Mpya wa Ommy Dimpoz

Msanii wa Bongo Fleva Omary Nyembo  'Ommy Dimpo' kutoka Rockstar Africa ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la "You Are The Best” baada ya wimbo wake wa "Ni Wewe" uliyotoka hivi karibuni kufanya vizuri.Hanscan ndiyo director wa Video ya You Are The Best”.Icheki hapo chini.
Hamisa Mobetto Adondosha Video ya Wimbo Mpya
Loading...

No comments: