VODACOM WAPIGA TAFU MRADI WA HAKUNA WASICHOWEZA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, March 19, 2019

VODACOM WAPIGA TAFU MRADI WA HAKUNA WASICHOWEZA

 Meneja wa Vodacom mkoa wa Lindi, Omary Kilumanga akikabidhi taulo za kike kwa wanawake wa Lindi hivi karibuni kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani chini ya mradi unaotekelezwa na taasisi ya T-Marc Tanzania wa Hakuna wasichoweza unaotoa elimu ya afya ya uzazi kwa wasichana kwa udhamini wa Vodacom Tanzania Foundation. 

Meneja wa Vodacom mkoa wa Lindi, Omary Kilumanga akikabidhi baadhi ya taulo za kike kwa mkuwa wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga kwa ajili ya kugawa kwa wanawake wa wilaya hiyo hivi karibuni kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani. Sherehe hizi ziliandaliwa na taasisi ya T-Marc Tanzania chini ya mradi wa Hakuna wasichoweza unaotoa elimu ya afya ya uzazi kwa wasichana kwa kudhaminiwa na Vodacom Tanzania Foundation.

Loading...

No comments: