Wafanyakazi wa Clouds Media wapata ajali wakitokea msibani kwa Ruge


Sehemu ya Timu ya Production ya Clouds Media ikiwa na Watu 6 ikitokea katika Msiba wa Ruge Mutahaba  Kagera imepata ajali ya gari Dodoma ambapo limepinduka mara tatu.
Hakuna aliepata madhara makubwa kutokana na ajali hiyo ambapo kwa sasa wanaendelea na matibabu Dodoma.
A

Post a Comment

0 Comments