WAKATI AKIFURAHIA KUPONA, CHAMBERLAIN AUMIA TENA, KUFANYIWA VIPIMO WIKIENDI HII - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, March 9, 2019

WAKATI AKIFURAHIA KUPONA, CHAMBERLAIN AUMIA TENA, KUFANYIWA VIPIMO WIKIENDI HII


Kiungo wa Liverpool Alex Oxlade-Chamberlain atafanyiwa vipimo katika misuli ya nyuma ya paja baada ya kuumia kwenye mechi ya chini ya miaka 23 dhidi ya Derby .

Alex Oxlade-Chamberlain alikuwa anatumia mechi hiyo kurejesha uimara wake kabla ya kurejea katika kikosi cha kwanza cha Jurgen Klopp. 

Taarifa za vipimo hivyo pamoja na majibu tutakuletea hapa hapa. 
Loading...

No comments: