WAKATI AKIJUTIA KUKATAA KUJIUNGA NAO NA KUTAKA ITOKEE TENA, BARCA WAMESEMA HAWAMTAKI TENA GRIEZMANN - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, March 19, 2019

WAKATI AKIJUTIA KUKATAA KUJIUNGA NAO NA KUTAKA ITOKEE TENA, BARCA WAMESEMA HAWAMTAKI TENA GRIEZMANN


Taarifa za kuaminika kutoka ndani ya klabu ya FC Barcelona zinasema kuwa hawahitaji tena huduma ya Straika Antoine Griezmann ambaye alikataa ofa ya kuhamia Camp Nou majira ya kiangazi yaliyopita. 

Barcelona wameamua kuachana na mpango huo na vinara hao wa La Liga sasa wameelekeza nguvu kwa Straika wa Eintracht Frankfurt, Luka Jovic, Straika wa RB Leipzig Timo Werner au Straika wa Celta Vigo Maxi Gomez. 

Griezmann hayupo katika mipango ya kocha Ernesto Valverde kwa sasa ingawa alitamani awe naye msimu huu wakati unaanza. 

Loading...

No comments: