WATUMIAJI WA TWITTER WAWAKINGIA KIFUA WALIOHARIBU PICHA ZA NKURUNZIZA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, March 27, 2019

WATUMIAJI WA TWITTER WAWAKINGIA KIFUA WALIOHARIBU PICHA ZA NKURUNZIZA


Watumiaji wa mtandao wa Twitter wanashinikiza serikali ya Burundi kuwaachia wasichana watatu wanaoshikiliwa kwa kuharibu picha ya Rais wa taifa hilo Piere Nkurunziza. 

Watumiaji hao nao wameamua kuchukua uamuzi wa kuziharibu picha mbalimbali za Rais huyo ikiwa ni kuwaunga mkono wasichana hao. 

Kwa kufanya kosa hilo, wasichana hao wanaweza kufungwa hadi miaka 5 jela kulingana na sheria za nchi hiyo. 
Loading...

No comments: