WAZIRI MKUU MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA MJI WA MISUNGWI, AKABIDHI MATREKTA KWA WENYEVITI VYAMA VYA MSINGI MWANZA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, March 20, 2019

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA MJI WA MISUNGWI, AKABIDHI MATREKTA KWA WENYEVITI VYAMA VYA MSINGI MWANZA


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa   (kulia) wakimsikiliza, Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji  na Usafi wa Mazingira  Mwanza (MWAUWASA), Mhandisi Anthony Sanga (kushoto) alipotoa maelezo kuhusu ujenzi wa Mradi wa Maji na Usafi  wa Mazingira  wa Mji wa Misungwi katika kijiji cha Nyahiti Mkoani Mwanza, Machi 19, 2019.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira  Mwanza (MWAUWASA), Mhandisi Anthony Sanga kuhusu michoro ya Mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira  wa Mji wa Misungwi kabla ya kuweka jiwe la msingi la Mradi huo, Machi 19, 2019.  Wa pili kulia ni Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa, kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella na wa pili kushoto ni  Mkuu wa Wilaya ya Misungwi, Juma Sweda.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa  Mradi wa Maji na Usafi wa Mazingira wa Mji  wa Misungwi katika kijiji cha Nyahiti mkoani Mwanza, Machi 19, 2019. Kushoto  kwake ni Waziri wa Maji, Profesa, Makame Mbarawa na  kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa   (kulia) wakimsikiliza, Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji  na Usafi wa Mazingira  Mwanza (MWAUWASA), Mhandisi Anthony Sanga (kushoto) alipotoa maelezo kuhusu ujenzi wa Mradi wa Maji na Usafi  wa Mazingira  wa Mji wa Misungwi katika kijiji cha Nyahiti Mkoani Mwanza, Machi 19, 2019.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteremka kutoka kwenye chujio la maji wakati alipokagua ujenzi wa  Mradi wa Maji na Usafi wa Mazingira wa Mji wa Misungwi katika kijiji cha Nyahiti Mkoani Mwanza, Machi 19, 2019.  
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikagua mashine za  za kusukuma maji kabla ya kuweka jiwe la msingi la  Mradi wa Maji na Usafi wa Mazingira wa  Mji wa Misungwi katika kijiji cha Nyahiti mkoani Mwanza, Machi 19, 2019.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Mradi wa Maji  na Usafi wa Mazingira wa Mji wa Misungwi katika kijiji cha Nyahiti Mkoani Mwanza, Machi 19, 2019.  Kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mwanza, Anthony Daallo.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasha trekta aina ya Ursus  wakati alipokabidhi matrekta16 yenye thamni ya shillings bilioni 1.8  kwa wenyeviti wa baadhi ya  Vyama vya Ushirika via Msingi mkoani Mwanza    katika hafla fupi iliyoandaliwa na Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) kwenye mtaa wa Posta jijini Mwanza, Machi 19, 2019.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ufunguo wa trekta aina ya Ursus, Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika cha Msingi cha Ugata wilayani Magu, Bw. Enock Ng'ombe katika hafla fupi ya kukabidhi matrekta 16 yenge hamani ya shiliüngi bilioni 1.8  kwa Vyama vya Ushirika vya  Msingi iliyoandaliwa na Shirika la Maendeleo la Taifa  (NDC) kwenye mtaa wa Posta jijini Mwanza, Machi  19, 2019.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ufunguo wa trekta aina Ursus, Mwenyekitiu wa Chama cha Msingi cha Mgundama, Bibi Getrude John katika hafla fupi ya kukabidhi matrekta 16 yenge hamani ya shiliüngi bilioni 1.8 kwa Vyama vya Ushirika vya Msingi iliyoandaliwa na Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) kwenye mtaa wa Posta jijini Mwanza, Machi 19, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ufunguo wa trekta aina ya Ursus, Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika cha Msingi cha Busisi wilayani Sengerema, Bibi  Amina Makone katika hafla fupi ya kukabidhi matrekta 16 yenge hamani ya shiliüngi bilioni 1.8 kwa Vyama vya Ushirika vya Msingi iliyoandaliwa na Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) kwenye mtaa wa Posta jijini Mwanza, Machi 19, 2019. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Loading...

No comments: