YANGA WAKANUSHA VIKALI TAARIFA YA KUTEMWA KWA ZAHERA NA AJIBU, TEN AFUNGUKA HAPA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, March 20, 2019

YANGA WAKANUSHA VIKALI TAARIFA YA KUTEMWA KWA ZAHERA NA AJIBU, TEN AFUNGUKA HAPAUongozi wa klabu ya Yanga umekanusha taarifa zilizoeleza kuwa Kamati ya kuhamasisha michango Yanga chini ya Mwenyekiti Mh. Anthony Mavunde imetoa wazo kwa klabu ya kuwatoa Mwinyi Zahera na Ibrahim Ajibu kuwa watia sahihi kwenye akaunti mpya ya CRDB huku ikisema kamati hiyo imedai Zahera na Ajibu muda wowote wanaweza kuondoka Yanga ikawa.

Kupitia Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten, amekanusha taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika haya.Loading...

No comments: