AKOTHEE ATANGAZA KUOKOKA LAKINI HATABADILISHA MAVAZI YAKE


Msanii mwanamama mkenya Akothee ametangaza kuokoka, kwenye mahojiano yake na kituo cha redio cha Kiss 100 cha Kenya mwimbaji huyo alithibitisha hilo.

Alisema tangu atembelee eneo la Turkana mapema mwezi uliopita na kujionea hali ya njaa ambapo alitoa msaada wa chakula, aliamua kuuona ufalme wa Mungu na kuamua Kuokoka;

"Since I came from Turkana I am new person. People saw me doing gospel in the Morning and did not know what this year came with. I got saved, yeah"

Lakini Kuokoka hakumfanyi Akothee aache kutinga mavazi yake mafupi, alisema ataendelea kutupia akiwa stejini na mtaani kama kawaida!. 

Unaionaje hii? 

Post a Comment

0 Comments