APPLE MUSIC WANAANDAA DOCUMENTARY YA WIZ KHALIFA IITWAYO "Behind The Cam"Mtandao wa Variety umeripoti kuwa kampuni ya Apple Music wapo katika mkakati wa kuileta filamu fupi ya maisha ya Wiz Khalifa.

Taarifa zaidi zilisema kuwa Apple Music itaachia documentary hiyo 'Behind The Cam' April 17 mwaka huu. Katika Documentary hiyo utapata kushuhudia hustle za Wiz tangu mixtape yake ya kwanza "Prince of The City:Welcome to Pistolvania" hadi leo akiwa na mixtapes 16, na albums 6.

Wiz Khalifa amekuwa katika tasnia ya muziki kwa miaka takribani miaka 14, na kuna mengi aliyafanya hadi kufikia alipo leo. Upo tayari kuyajua?

Post a Comment

0 Comments