ARSENAL WAMUWINDA MKURUGENZI WA MICHEZO WA MARSEILE, ZUBIZARRETA. - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, April 3, 2019

ARSENAL WAMUWINDA MKURUGENZI WA MICHEZO WA MARSEILE, ZUBIZARRETA.Klabu ya Arsenal ya jijini London inatarajiwa kuwasilisha ofa kwa Mkurugenzi wa Michezo wa Marseille, Andoni Zubizarreta kwa mujibu wa taarifa kutoka Daily Star.  

Taarifa hizo za chinichini  zimeongeza kwa kusema kwamba Golikipa huyo wa zamani wa Hispania ameanza kuchukizwa na Maisha ya Ligue 1 na anataka kutafuta changamoto mpya mahali pengine kwenye ligi nyingine. 

Na hiyo imempelekea kuanza kufikiria kuhamia Ligi kuu ya Uingereza na kwenda kuchukua nafasi hiyo ndani ya Arsenal akifanya kazi pamoja na kocha Unai Emery. 
Loading...

No comments: