BONGE LA HOTEL YENYE HADHI YA NYOTA TANO WALIYOFIKIA SIMBA HUKO CONGO


Tazama bonge la hotel yenye hadhi ya nyota tano waliyofikia wachezaji wa Simba mjini Lubumbashi Congo.

Wekundu hao wa Msimbazi watakuwa na kibarua kesho cha mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe.


Post a Comment

0 Comments