BRAD PITT & ANGELINA JOLIE WAACHANA RASMI, NYARAKA ZA MAHAKAMA ZATHIBITISHA


Mtandao wa THE BLAST umethibitisha kuwa waigizaji mahiri na maarufu Brad Pitt na Angelina Jolie ambao walikuwa wanatengeneza moja ya couple kubwa na pendwa duniani, sasa wameachana rasmi. 

Kwa mujibu wa nyaraka za mahakama zilzizoonekana, imeelezwa kuwa wawili hao walikamilisha mchakato wa talaka ijumaa ya wikiendi iliyopita (April 12) na sasa wamepewa uwanja wa makubaliano kwenye mali na malezi ya watoto wao. 

Brad Pitt na Angelina Jolie walifunga ndoa mwaka 2014 na miaka miwili mbele Jolie aliomba talaka yake. 

Post a Comment

0 Comments