BUNGENI: KAMBI RASMI YA UPINZANI KUPANGUA BARAZA LA MAWAZIRI VIVULI

Freeman Mbowe

Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni, Freeman Mbowe amesema atapangua Baraza la Mawaziri Vivuli na kuwaondoa wabunge wa CUF kutokana na baadhi yao kumuunga mkono Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, na baadhi ya waliokuwa viongozi wa CUF kuhamia ACT Wazalendo.

Hata hivyo, CUF imesema ikitokea mabadiliko yoyote ya aina hiyo watamuandikia barua Spika kuomba ziwepo kambi mbili za upinzani bungeni, na hivyo stahiki za kambi ya upinzani zitakwenda katika makundi mawili. 

Post a Comment

0 Comments