Kocha Simba Ashinda Tuzo ya Kocha Bora


Kamati ya Tuzo imemchagua Kocha wa Simba, Patrick Aussems kuwa Kocha Bora wa Machi akiwashinda Kocha Mkuu wa Azam, Abdul Mingange na Kocha wa Mtibwa Sugar, Zuberi Katwila, katika mwezi huo Simba ilishinda michezo yote mitatu iliyocheza ikiwa nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi.


Post a Comment

0 Comments