Laini za Simu Kusajiliwa Upya Nchini kuanzia Mei Mosi Mwaka HuuMamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikiana na watoa huduma za mawasiliano ya simu wanakutangazia kuwa, kuanzia Tarehe 1 MEI, 2019 watumiaji wote wa simu za mkononi ambao hawajasajili laini zao kwa kutumia mfumo wa alama za vidole wanatakiwa kusajili UPYA laini zao

.


Post a Comment

0 Comments