LEO MYSTERIO AAMINI KAMA AMEMUOA RIYAMA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, April 25, 2019

LEO MYSTERIO AAMINI KAMA AMEMUOA RIYAMA

Mume wa mwigizaji wa filamu za Kibongo, Riyama Ally, msanii wa Bongo Fleva, Leo MySterio amesema wakati mwingine huwa anamwambia mke wake mwigizaji Riyama Ally kuwa haamini kama amemuoa.
Riyama Ally na Leo Mysterio

“Kuna wakati huwa nikikaaga na mke wangu Riyama Ally huwa namwambia siamini kama nimekuoa, mimi na mwenza wangu tulijuana muda mrefu sana na tulikuwa marafiki kisha tukapotezana ila tulivyokuja kukutana ndiyo tukaanza mahusiano rasmi”  Alisema Leo MySterio alipokuwa akifanya mahojiano na kipindi cha XXL cha Clouds FM.

Loading...

No comments: