Miwani ya kupunguza Ajali wakati wa Usiku - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, April 20, 2019

Miwani ya kupunguza Ajali wakati wa Usiku

main 
Je wajua asilimia 40 ya ajali zinazotokea nchini Tanzania zinatokea nyakati za usiku?

Uendeshaji gari nyakati za usiku una changamoto nyingi ikiwemo taa zenye mwanga mkali ambao husababisha kuto kuona vizuri ambapo inaweza kupelekea kusababisha ajali na kuleta madhara. Madereva wa Tanzania wana shida ya  kuendesha gari usiku kwa sababu ya  taa zenye mwanga  mkali kutoka kwa magari, pikipiki na bajaji zinazokuja mbele ya dereva. Zaidi ya hayo, kutembea usiku ukiwa na matatizo ya kuona vizuri unaweza kufanya kuendesha gari na kusababisha ajali!

Teknolojia  ya miwani ya macho ya hivi karibuni imefanya kuwa salama kuendesha gari nyakati za usiku. Teknolojia hii ni sawa au inakaribia"Vision - X" wakati wa kuendesha gari. Teknolojia hii inakusaidia kuona vizuri kile kilicho mbele yako na kilichokaribu, hata wakati giza nene na kivuli. 

Wekeza katika usalama wako na amani ya akili kwa kutumia miwani hii yenye teknolojia ya kisasa kabisa kukusaidia wewe dereva na kuokoa ajali za barabarani wakati wa usiku,
Ukiwa na miwani hii hautakuwa na uoga tena wa kuendesha gari wakati wa usiku na utaona vyema kama wakati wa mchana. Baadhi ya picja hapo chini zinaonyesha namna zinavyokusaidia kuona ukiwa umevaa miwani hii yenye Vision X na wakati hauna au umevaa miwani isiyokuwa na Vision X.

main
main

main
Loading...

No comments: