ALIKIBA AWEKA WAZI JINA LA MTOTO WAKE - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, April 8, 2019

ALIKIBA AWEKA WAZI JINA LA MTOTO WAKE

Staa wa Bongo Fleva, Alikiba ametangaza jina la mtoto wa wake wa kike aliyezaliwa miezi miwili iliyopitwa kuwa anaitwa Keyaan.




Kupitia ukurasa wake Instagram Kiba  ameweka picha  akiwa amembeba mtoto anamnywesha maziwa na kutaja jina la mtoto huyo, Keyaan.

"Alhamdulilah' Keyaan" ndiyo maneno aliyoandika  Alikiba kwenye picha hiyo hapo juu, kitu ambacho kimewafanya mashabiki wengi wa msanii huyo kuomba kuonyeshwa sura ya mtoto huyo.


Kiba amepata wake mtoto huyo kupitia  mke wake  Amina anayetokea Mombasa aliyemuoa mwaka jana

Loading...

No comments: